Native Bible

2 Thessalonians 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba na Bwana Yesu Kristo iwe nanyi.

2 Thessalonians 1:2 in English

2 Thessalonians 1:2 · Berean Standard Bible

Grace and peace to you from God our Father * and the Lord Jesus Christ.

Context

1Paulo, Silvano* na Timotheo: Kwa kanisa la Wathesalonike mlio katika Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo: 2Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba na Bwana Yesu Kristo iwe nanyi. 3Ndugu, imetubidi kumshukuru Mungu kwa ajili yenu siku zote, kama ulivyo wajibu wetu, kwa sababu imani yenu inakua zaidi na zaidi na upendo wa kila mmoja wenu alio nao kwa mwenzake unazidi kuongezeka. 4Ndiyo sababu miongoni mwa makanisa ya Mungu, tunajivuna kuhusu saburi yenu na imani mliyo nayo katika mateso yote na dhiki mnazostahimili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.