2 Samweli 5:21
2 Samuel 5:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wafilisti wakaiacha miungu yao huko, naye Daudi na watu wake wakaichukua.
2 Samuel 5:21 in English
2 Samuel 5:21 · Berean Standard Bible
There the Philistines abandoned their idols, and David and his men carried them away.
Context
19kwa hiyo Daudi akamuuliza Bwana, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?”
Bwana akamjibu, “Nenda, kwa maana hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.” 20Ndipo Daudi akaenda mpaka Baal-Perasimu, na huko akawashinda Wafilisti. Akasema, “Kama mafuriko yafurikavyo, Bwana amewafurikia adui zangu mbele yangu.” Kwa hiyo mahali hapo pakaitwa Baal-Perasimu.* 21Wafilisti wakaiacha miungu yao huko, naye Daudi na watu wake wakaichukua. 22Wafilisti walikwea kwa mara nyingine na kusambaa katika Bonde la Warefai. 23Kwa hiyo Daudi akamuuliza Bwana, naye akamjibu, “Usipande moja kwa moja, bali wazungukie kwa nyuma na uwashambulie mbele ya miti ya miforosadi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.