Native Bible

2 Samuel 21:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa wanne walikuwa wazao wa Warefai huko Gathi, nao walianguka kwa mikono ya Daudi na watu wake.

2 Samuel 21:22 in English

2 Samuel 21:22 · Berean Standard Bible

So these four descendants of Rapha in Gath fell at the hands of David and his servants.

Context

20Katika vita vingine tena, vilivyopiganwa huko Gathi, kulikuwako na mtu mmoja mkubwa mwenye vidole sita katika kila mkono na vidole sita kila mguu, jumla vidole ishirini na vinne. Yeye alikuwa pia mzao wa Mrefai. 21Alipowadhihaki Israeli, Yonathani mwana wa Shimea, nduguye Daudi, akamuua. 22Hawa wanne walikuwa wazao wa Warefai huko Gathi, nao walianguka kwa mikono ya Daudi na watu wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.