Native Bible

2 Samuel 20:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na Ira, Myairi, alikuwa kuhani wa Daudi.

2 Samuel 20:26 in English

2 Samuel 20:26 · Berean Standard Bible

and Ira the Jairite * was David’s priest.

Context

24Adoramu alikuwa kiongozi wa wale waliofanya kazi ya kulazimishwa; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu; 25Sheva* alikuwa mwandishi; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani; 26na Ira, Myairi, alikuwa kuhani wa Daudi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.