2 Samweli 20:25
2 Samuel 20:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sheva* alikuwa mwandishi; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani;
2 Samuel 20:25 in English
2 Samuel 20:25 · Berean Standard Bible
Sheva * was the scribe; Zadok and Abiathar were priests;
Context
23Yoabu alikuwa jemadari wa jeshi lote la Israeli; Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa juu ya Wakerethi na Wapelethi; 24Adoramu alikuwa kiongozi wa wale waliofanya kazi ya kulazimishwa; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu; 25Sheva* alikuwa mwandishi; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani; 26na Ira, Myairi, alikuwa kuhani wa Daudi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.