2 Samweli 13:39
2 Samuel 13:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Roho ya Mfalme Daudi ikatamani kumwendea Absalomu, kwa maana mfalme alikuwa amefarijika kuhusu kifo cha Amnoni.
2 Samuel 13:39 in English
2 Samuel 13:39 · Berean Standard Bible
And King David * longed to go to Absalom,* for he had been consoled over Amnon’s death.
Context
37Absalomu akakimbia na kwenda kwa Talmai mwana wa Amihudi, mfalme wa Geshuri. Lakini Mfalme Daudi akaomboleza kwa ajili ya mwanawe kila siku. 38Baada ya Absalomu kukimbia na kwenda Geshuri, akakaa huko miaka mitatu. 39Roho ya Mfalme Daudi ikatamani kumwendea Absalomu, kwa maana mfalme alikuwa amefarijika kuhusu kifo cha Amnoni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.