Native Bible

2 Samuel 13:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya Absalomu kukimbia na kwenda Geshuri, akakaa huko miaka mitatu.

2 Samuel 13:38 in English

2 Samuel 13:38 · Berean Standard Bible

After Absalom had fled and gone to Geshur, he stayed there three years.

Context

36Mara alipomaliza kusema, wana wa mfalme wakaingia ndani wakiomboleza kwa makelele. Pia mfalme na watumishi wake wote wakalia sana kwa uchungu. 37Absalomu akakimbia na kwenda kwa Talmai mwana wa Amihudi, mfalme wa Geshuri. Lakini Mfalme Daudi akaomboleza kwa ajili ya mwanawe kila siku. 38Baada ya Absalomu kukimbia na kwenda Geshuri, akakaa huko miaka mitatu. 39Roho ya Mfalme Daudi ikatamani kumwendea Absalomu, kwa maana mfalme alikuwa amefarijika kuhusu kifo cha Amnoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.