2 Samweli 13:1
2 Samuel 13:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ikawa baada ya hayo, Amnoni mwana wa Daudi akampenda Tamari, umbu lake Absalomu mwana wa Daudi, ambaye alikuwa mzuri wa sura.
2 Samuel 13:1 in English
2 Samuel 13:1 · Berean Standard Bible
After some time, David’s son Amnon fell in love with Tamar, the beautiful sister of David’s son Absalom.
Context
1Ikawa baada ya hayo, Amnoni mwana wa Daudi akampenda Tamari, umbu lake Absalomu mwana wa Daudi, ambaye alikuwa mzuri wa sura. 2Amnoni akasumbuka sana kuhusu Tamari hata akaugua, kwa kuwa Tamari alikuwa bikira, na ilionekana kwamba haiwezekani Amnoni kumfanyia jambo lolote. 3Basi Amnoni alikuwa na rafiki jina lake Yonadabu mwana wa Shimea,* nduguye Daudi. Yonadabu alikuwa mtu wa hila nyingi sana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.