Native Bible

2 Peter 1:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

katika utauwa, upendano wa ndugu; na katika upendano wa ndugu, upendo.

2 Peter 1:7 in English

2 Peter 1:7 · Berean Standard Bible

and to godliness, brotherly kindness; and to brotherly kindness, love.

Context

5Kwa sababu hii hasa, jitahidini sana katika imani yenu kuongeza wema; na katika wema, maarifa; 6katika maarifa, kiasi; katika kiasi, saburi; katika saburi, utauwa;* 7katika utauwa, upendano wa ndugu; na katika upendano wa ndugu, upendo. 8Kwa maana haya yakiwa ndani yenu kwa wingi na kuzidi kuongezeka, yanawasaidia msikose bidii wala kutozaa matunda katika kumjua Bwana wetu Yesu Kristo. 9Lakini mtu yeyote asipokuwa na mambo haya haoni mbali, na ni kipofu, naye amesahau kule kutakaswa kutoka dhambi zake za zamani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.