2 Petro 1:5
2 Peter 1:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa sababu hii hasa, jitahidini sana katika imani yenu kuongeza wema; na katika wema, maarifa;
2 Peter 1:5 in English
2 Peter 1:5 · Berean Standard Bible
For this very reason, make every effort to add to your faith virtue; and to virtue, knowledge;
Context
3Uweza wake wa uungu umetupatia mambo yote tunayohitaji kwa ajili ya uzima na uchaji wa Mungu, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe. 4Kwa sababu hiyo, ametukirimia ahadi zake kuu na za thamani kupitia mambo haya, ili kupitia hayo mpate kuwa washiriki wa asili ya uungu, na kuokoka kutoka upotovu ulioko duniani unaosababishwa na tamaa mbaya. 5Kwa sababu hii hasa, jitahidini sana katika imani yenu kuongeza wema; na katika wema, maarifa; 6katika maarifa, kiasi; katika kiasi, saburi; katika saburi, utauwa;* 7katika utauwa, upendano wa ndugu; na katika upendano wa ndugu, upendo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.