Native Bible

2 Peter 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

katika maarifa, kiasi; katika kiasi, saburi; katika saburi, utauwa;*

2 Peter 1:6 in English

2 Peter 1:6 · Berean Standard Bible

and to knowledge, self-control; and to self-control, perseverance; and to perseverance, godliness;

Context

4Kwa sababu hiyo, ametukirimia ahadi zake kuu na za thamani kupitia mambo haya, ili kupitia hayo mpate kuwa washiriki wa asili ya uungu, na kuokoka kutoka upotovu ulioko duniani unaosababishwa na tamaa mbaya. 5Kwa sababu hii hasa, jitahidini sana katika imani yenu kuongeza wema; na katika wema, maarifa; 6katika maarifa, kiasi; katika kiasi, saburi; katika saburi, utauwa;* 7katika utauwa, upendano wa ndugu; na katika upendano wa ndugu, upendo. 8Kwa maana haya yakiwa ndani yenu kwa wingi na kuzidi kuongezeka, yanawasaidia msikose bidii wala kutozaa matunda katika kumjua Bwana wetu Yesu Kristo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.