2 Wafalme 5:4
2 Kings 5:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naamani akaenda kwa bwana wake na kumwambia alichosema yule msichana kutoka Israeli.
2 Kings 5:4 in English
2 Kings 5:4 · Berean Standard Bible
And Naaman went and told his master what the girl from the land of Israel had said.
Context
2Siku hizo vikosi kutoka Aramu vilikuwa vimekwenda na vikawa vimemteka msichana kutoka Israeli, naye akamtumikia mkewe Naamani. 3Akamwambia bibi yake, “Kama bwana wangu angelimwona nabii aliyeko Samaria! Angemponya ukoma wake.” 4Naamani akaenda kwa bwana wake na kumwambia alichosema yule msichana kutoka Israeli. 5Mfalme wa Aramu* akamjibu, “Hakika, nenda. Nitatuma barua kwa mfalme wa Israeli.” Kwa hiyo Naamani akaondoka, akiwa amechukua talanta kumi* za fedha, shekeli 6,000 za dhahabu,* na mivao kumi ya mavazi. 6Barua aliyopelekea mfalme wa Israeli iliandikwa hivi: “Pamoja na barua hii ninamtuma mtumishi wangu, Naamani, kwako ili uweze kumponya ukoma wake.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.