Native Bible

2 Kings 25:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku kwa siku mfalme alimpa Yehoyakini posho siku zote za maisha yake.

2 Kings 25:30 in English

2 Kings 25:30 · Berean Standard Bible

And the king provided Jehoiachin a daily portion for the rest of his life.

Context

28Alizungumza naye kwa upole na kumpa kiti cha heshima zaidi kuliko wale wafalme wengine aliokuwa nao huko Babeli. 29Hivyo Yehoyakini akayavua mavazi yake ya mfungwa, na siku zote za maisha yake zilizobaki alikula mezani mwa mfalme. 30Siku kwa siku mfalme alimpa Yehoyakini posho siku zote za maisha yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.