2 Wafalme 17:41
2 Kings 17:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata wakati watu hawa walipokuwa wanamwabudu Bwana, walikuwa bado wakitumikia sanamu zao. Mpaka leo watoto wao na watoto wa watoto wao wanaendelea kufanya kama baba zao walivyofanya.
2 Kings 17:41 in English
2 Kings 17:41 · Berean Standard Bible
So these nations worshiped the LORD but also served their idols, and to this day their children and grandchildren continue to do as their fathers did.
Context
39Bali, mtamwabudu Bwana Mungu wenu, kwani yeye ndiye atakayewakomboa kutoka mikononi mwa adui zenu wote.” 40Hata hivyo hawakusikiliza, lakini waliendelea na desturi zao za awali. 41Hata wakati watu hawa walipokuwa wanamwabudu Bwana, walikuwa bado wakitumikia sanamu zao. Mpaka leo watoto wao na watoto wa watoto wao wanaendelea kufanya kama baba zao walivyofanya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.