Native Bible

2 Kings 17:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata hivyo hawakusikiliza, lakini waliendelea na desturi zao za awali.

2 Kings 17:40 in English

2 Kings 17:40 · Berean Standard Bible

But they would not listen, and they persisted in their former customs.

Context

38Msisahau agano nililofanya nanyi, wala msiabudu miungu mingine. 39Bali, mtamwabudu Bwana Mungu wenu, kwani yeye ndiye atakayewakomboa kutoka mikononi mwa adui zenu wote.” 40Hata hivyo hawakusikiliza, lakini waliendelea na desturi zao za awali. 41Hata wakati watu hawa walipokuwa wanamwabudu Bwana, walikuwa bado wakitumikia sanamu zao. Mpaka leo watoto wao na watoto wa watoto wao wanaendelea kufanya kama baba zao walivyofanya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.