Native Bible

2 Kings 10:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Muda Yehu aliotawala juu ya Israeli huko Samaria ilikuwa miaka ishirini na minane.

2 Kings 10:36 in English

2 Kings 10:36 · Berean Standard Bible

So the duration of Jehu’s reign over Israel in Samaria was twenty-eight years.

Context

34Kwa matukio mengine ya utawala wa Yehu, yote aliyofanya na mafanikio yake yote, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Israeli? 35Yehu akalala pamoja na baba zake, naye akazikwa huko Samaria. Naye Yehoahazi mwanawe akawa mfalme baada yake. 36Muda Yehu aliotawala juu ya Israeli huko Samaria ilikuwa miaka ishirini na minane.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.