Native Bible

2 Kings 10:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yehu akalala pamoja na baba zake, naye akazikwa huko Samaria. Naye Yehoahazi mwanawe akawa mfalme baada yake.

2 Kings 10:35 in English

2 Kings 10:35 · Berean Standard Bible

And Jehu rested with his fathers and was buried in Samaria, and his son Jehoahaz reigned in his place.

Context

33mashariki ya Yordani, katika nchi yote ya Gileadi (eneo la Gadi, Reubeni na Manase), kutoka Aroeri karibu na Bonde la Arnoni kupitia Gileadi hadi Bashani. 34Kwa matukio mengine ya utawala wa Yehu, yote aliyofanya na mafanikio yake yote, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Israeli? 35Yehu akalala pamoja na baba zake, naye akazikwa huko Samaria. Naye Yehoahazi mwanawe akawa mfalme baada yake. 36Muda Yehu aliotawala juu ya Israeli huko Samaria ilikuwa miaka ishirini na minane.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.