Native Bible

2 John 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa sababu ya ile kweli ikaayo ndani yetu na ambayo itaendelea kukaa nasi milele:

2 John 1:2 in English

2 John 1:2 · Berean Standard Bible

because of the truth that abides in us and will be with us forever:

Context

1Mzee: Kwa bibi mteule na watoto wake, niwapendao katika kweli, wala si mimi tu, bali na wale wote waijuayo kweli: 2kwa sababu ya ile kweli ikaayo ndani yetu na ambayo itaendelea kukaa nasi milele: 3Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo, Mwanawe Baba, itakuwa pamoja nasi katika kweli na upendo. 4Imenipa furaha kuu kuona baadhi ya watoto wako wanaenenda katika kweli, kama vile Baba alivyotuagiza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.