Native Bible

2 Corinthians 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama watendakazi pamoja na Mungu, tunawasihi msipokee neema ya Mungu bure.

2 Corinthians 6:1 in English

2 Corinthians 6:1 · Berean Standard Bible

As God’s fellow workers,* then, we urge you not to receive God’s grace in vain.

Context

1Kama watendakazi pamoja na Mungu, tunawasihi msipokee neema ya Mungu bure. 2Kwa maana asema: “Wakati wangu uliokubalika nilikusikia, siku ya wokovu nilikusaidia.” Tazama, wakati uliokubalika ndio huu, siku ya wokovu ndiyo sasa. 3Hatuweki kitu cha kukwaza katika njia ya mtu yeyote, ili huduma yetu isionekane kuwa na lawama.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.