Native Bible

2 Corinthians 3:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

je, huduma ya Roho haitakuwa na utukufu zaidi?

2 Corinthians 3:8 in English

2 Corinthians 3:8 · Berean Standard Bible

will not the ministry of the Spirit be even more glorious?

Context

6Ndiye alituwezesha sisi kuwa wahudumu wa Agano Jipya: si wa andiko, bali wa Roho; kwa kuwa andiko huua bali Roho hutia uzima. 7Basi ikiwa ile huduma iliyoleta mauti, iliyoandikwa kwa herufi juu ya jiwe ilikuja kwa utukufu, hata Waisraeli wakawa hawawezi kuutazama uso wa Mose kwa sababu ya ule utukufu wake ingawa ulikuwa ni wa kufifia, 8je, huduma ya Roho haitakuwa na utukufu zaidi? 9Ikiwa huduma ile inayowahukumu wanadamu ina utukufu, je, ile huduma iletayo haki haitakuwa ya utukufu zaidi? 10Kwa maana kile kilichokuwa na utukufu sasa hakina utukufu ukilinganisha na huu utukufu unaozidi wa Agano Jipya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.