Native Bible

2 Corinthians 3:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana kile kilichokuwa na utukufu sasa hakina utukufu ukilinganisha na huu utukufu unaozidi wa Agano Jipya.

2 Corinthians 3:10 in English

2 Corinthians 3:10 · Berean Standard Bible

Indeed, what was once glorious has no glory now in comparison to the glory that surpasses it.

Context

8je, huduma ya Roho haitakuwa na utukufu zaidi? 9Ikiwa huduma ile inayowahukumu wanadamu ina utukufu, je, ile huduma iletayo haki haitakuwa ya utukufu zaidi? 10Kwa maana kile kilichokuwa na utukufu sasa hakina utukufu ukilinganisha na huu utukufu unaozidi wa Agano Jipya. 11Ikiwa kile kilichokuwa kinafifia kilikuja kwa utukufu, je, si zaidi utukufu wa kile kinachodumu? 12Kwa hiyo, kwa kuwa tunalo tumaini hili, tuna ujasiri sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.