Native Bible

2 Corinthians 2:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi sasa badala yake, inawapasa kumsamehe na kumfariji, ili asigubikwe na huzuni kupita kiasi.

2 Corinthians 2:7 in English

2 Corinthians 2:7 · Berean Standard Bible

So instead, you ought to forgive and comfort him, so that he will not be overwhelmed by excessive sorrow.

Context

5Lakini ikiwa mtu yeyote amesababisha huzuni, kwa kiasi fulani hakunihuzunisha mimi kama vile alivyowahuzunisha ninyi nyote, ili nisiwe mkali kupita kiasi. 6Adhabu hii aliyopewa na wengi inamtosha. 7Basi sasa badala yake, inawapasa kumsamehe na kumfariji, ili asigubikwe na huzuni kupita kiasi. 8Kwa hiyo, nawasihi, mpate kuuthibitisha tena upendo wenu kwa ajili yake. 9Sababu ya kuwaandikia ni kuona kama mngeweza kushinda hilo jaribio na kutii katika kila jambo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.