Native Bible

2 Corinthians 13:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa busu takatifu.

2 Corinthians 13:12 in English

2 Corinthians 13:12 · Berean Standard Bible

Greet one another with a holy kiss.

Context

10Hii ndiyo sababu nawaandikia mambo haya wakati sipo, ili nikija nisiwe mkali katika kutumia mamlaka yangu, mamlaka Bwana aliyonipa ya kuwajenga ninyi wala si ya kuwabomoa. 11Hatimaye, ndugu zangu, kwaherini. Kuweni wakamilifu, mkafarijike, kuweni wa nia moja, kaeni kwa amani. Naye Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi. 12Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa busu takatifu. 13Watakatifu wote wanawasalimu. 14Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.