2 Nyakati 9:28
2 Chronicles 9:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka nchi nyingine zote.
2 Chronicles 9:28 in English
2 Chronicles 9:28 · Berean Standard Bible
Solomon’s horses were imported from Egypt and from all the lands.
Context
26Solomoni akatawala juu ya wafalme wote kuanzia Mto Frati mpaka kwenye nchi ya Wafilisti na kuendelea hadi mpaka wa Misri. 27Mfalme akafanya fedha kuwa kitu cha kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani. 28Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka nchi nyingine zote. 29Kwa habari za matukio mengine ya utawala wa Solomoni, kuanzia mwanzo hadi mwisho, je, hayakuandikwa katika kumbukumbu za nabii Nathani, katika unabii wa Ahiya Mshiloni na katika maono ya Ido mwonaji kuhusu Yeroboamu mwana wa Nebati? 30Solomoni alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.