2 Nyakati 9:30
2 Chronicles 9:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Solomoni alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu.
2 Chronicles 9:30 in English
2 Chronicles 9:30 · Berean Standard Bible
Solomon reigned in Jerusalem over all Israel forty years.
Context
28Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka nchi nyingine zote. 29Kwa habari za matukio mengine ya utawala wa Solomoni, kuanzia mwanzo hadi mwisho, je, hayakuandikwa katika kumbukumbu za nabii Nathani, katika unabii wa Ahiya Mshiloni na katika maono ya Ido mwonaji kuhusu Yeroboamu mwana wa Nebati? 30Solomoni alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu. 31Kisha Solomoni akalala pamoja na baba zake, naye akazikwa katika mji wa Daudi baba yake. Naye Rehoboamu mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.