2 Nyakati 6:41
2 Chronicles 6:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Sasa inuka, Ee Bwana Mungu, na uje mahali pako pa kupumzikia, wewe na Sanduku la nguvu zako. Makuhani wako, Ee Bwana Mungu, na wavikwe wokovu, watakatifu wako na wafurahi katika wema wako.
2 Chronicles 6:41 in English
2 Chronicles 6:41 · Berean Standard Bible
Now therefore, arise, O LORD God, and enter Your resting place, You and the ark of Your might. May Your priests, O LORD God, be clothed with salvation, and may Your godly ones rejoice in goodness.
Context
39basi kutoka mbinguni, mahali pa makao yako, usikie dua yao na maombi yao na kuitetea haki yao. Uwasamehe watu wako, waliotenda dhambi dhidi yako. 40“Sasa, Mungu wangu, macho yako na yafumbuke na masikio yako yasikie maombi yaombwayo mahali hapa. 41“Sasa inuka, Ee Bwana Mungu,
na uje mahali pako pa kupumzikia,
wewe na Sanduku la nguvu zako.
Makuhani wako, Ee Bwana Mungu,
na wavikwe wokovu,
watakatifu wako na wafurahi
katika wema wako. 42Ee Bwana Mungu, usimkatae
mpakwa mafuta wako.
Kumbuka upendo mkuu uliomwahidia
Daudi mtumishi wako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.