2 Nyakati 6:42
2 Chronicles 6:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana Mungu, usimkatae mpakwa mafuta wako. Kumbuka upendo mkuu uliomwahidia Daudi mtumishi wako.”
2 Chronicles 6:42 in English
2 Chronicles 6:42 · Berean Standard Bible
O LORD God, do not reject Your anointed one. Remember Your loving devotion to Your servant David.”
Context
40“Sasa, Mungu wangu, macho yako na yafumbuke na masikio yako yasikie maombi yaombwayo mahali hapa. 41“Sasa inuka, Ee Bwana Mungu,
na uje mahali pako pa kupumzikia,
wewe na Sanduku la nguvu zako.
Makuhani wako, Ee Bwana Mungu,
na wavikwe wokovu,
watakatifu wako na wafurahi
katika wema wako. 42Ee Bwana Mungu, usimkatae
mpakwa mafuta wako.
Kumbuka upendo mkuu uliomwahidia
Daudi mtumishi wako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.