2 Nyakati 33:25
2 Chronicles 33:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha watu wa nchi wakawaua wale wote waliokuwa wamefanya hila dhidi ya Mfalme Amoni. Wakamfanya Yosia mwanawe kuwa mfalme mahali pake.
2 Chronicles 33:25 in English
2 Chronicles 33:25 · Berean Standard Bible
But the people of the land killed all those who had conspired against King Amon, and they made his son Josiah king in his place.
Context
23Lakini tofauti na Manase baba yake, hakujinyenyekeza mbele za Bwana, badala yake Amoni aliongeza hatia zaidi na zaidi. 24Watumishi wa Amoni wakafanya fitina juu yake, nao wakamuulia kwake nyumbani. 25Kisha watu wa nchi wakawaua wale wote waliokuwa wamefanya hila dhidi ya Mfalme Amoni. Wakamfanya Yosia mwanawe kuwa mfalme mahali pake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.