Native Bible

2 Chronicles 33:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watumishi wa Amoni wakafanya fitina juu yake, nao wakamuulia kwake nyumbani.

2 Chronicles 33:24 in English

2 Chronicles 33:24 · Berean Standard Bible

Then the servants of Amon conspired against him and killed him in his palace.

Context

22Akatenda maovu machoni mwa Bwana, kama baba yake Manase alivyofanya. Amoni akaabudu na kutoa dhabihu kwa sanamu zote alizokuwa ametengeneza Manase. 23Lakini tofauti na Manase baba yake, hakujinyenyekeza mbele za Bwana, badala yake Amoni aliongeza hatia zaidi na zaidi. 24Watumishi wa Amoni wakafanya fitina juu yake, nao wakamuulia kwake nyumbani. 25Kisha watu wa nchi wakawaua wale wote waliokuwa wamefanya hila dhidi ya Mfalme Amoni. Wakamfanya Yosia mwanawe kuwa mfalme mahali pake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.