2 Nyakati 31:9
2 Chronicles 31:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hezekia akawauliza makuhani na Walawi kuhusu yale malundo,
2 Chronicles 31:9 in English
2 Chronicles 31:9 · Berean Standard Bible
Then Hezekiah questioned the priests and Levites about the heaps,
Context
7Wakaanza kufanya haya katika mwezi wa tatu na kumaliza katika mwezi wa saba. 8Wakati Hezekia na maafisa wake walipokuja na kuona yale malundo, wakamsifu Bwana na kuwabariki watu wake Israeli. 9Hezekia akawauliza makuhani na Walawi kuhusu yale malundo, 10naye Azaria aliyekuwa kuhani mkuu, kutoka jamaa ya Sadoki, akajibu, “Tangu watu walipoanza kuleta sadaka zao katika Hekalu la Bwana tumekuwa na chakula cha kutosha na vingi vya kuweka akiba kwa sababu Bwana amewabariki watu wake, hivyo tumekuwa na kiasi kingi kilichobaki.” 11Hezekia akatoa agizo la kutengeneza vyumba vya ghala katika Hekalu la Bwana nalo hili likafanyika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.