Native Bible

2 Chronicles 15:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hapakuwepo vita tena mpaka mwaka wa thelathini na tano wa utawala wake Asa.

2 Chronicles 15:19 in English

2 Chronicles 15:19 · Berean Standard Bible

And there was no war until the thirty-fifth year of Asa’s reign.

Context

17Ijapokuwa hakuondoa mahali pa juu pa kuabudia miungu katika Israeli, moyo wa Asa ulikuwa umejiweka kwa Bwana kikamilifu maisha yake yote. 18Akaleta ndani ya Hekalu la Mungu fedha na dhahabu na vile vyombo ambavyo yeye na baba yake walikuwa wameviweka wakfu. 19Hapakuwepo vita tena mpaka mwaka wa thelathini na tano wa utawala wake Asa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.