Native Bible

2 Chronicles 15:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Roho wa Bwana akamjia Azaria mwana wa Odedi.

2 Chronicles 15:1 in English

2 Chronicles 15:1 · Berean Standard Bible

Now the Spirit of God came upon Azariah son of Oded.

Context

1Roho wa Bwana akamjia Azaria mwana wa Odedi. 2Akatoka ili kumlaki Asa na kumwambia, “Nisikilizeni, Asa na Yuda wote na Benyamini. Bwana yu pamoja nanyi mkiwa pamoja naye. Kama mkimtafuta, ataonekana kwenu, lakini kama mkimwacha yeye, naye atawaacha ninyi. 3Kwa muda mrefu Israeli walikuwa hawana Mungu wa kweli, walikuwa hawana kuhani wa kuwafundisha na wala hawakuwa na sheria.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.