Native Bible

1 Timothy 5:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanaodumu katika dhambi uwakemee hadharani, ili wengine wapate kuogopa.

1 Timothy 5:20 in English

1 Timothy 5:20 · Berean Standard Bible

But those who persist in sin should be rebuked in front of everyone, so that the others will stand in fear of sin.

Context

18Kwa maana Maandiko husema, “Usimfunge maksai kinywa apurapo nafaka,” tena, “Mfanyakazi anastahili mshahara wake.” 19Usiendekeze mashtaka dhidi ya mzee isipokuwa yawe yameletwa na mashahidi wawili au watatu. 20Wale wanaodumu katika dhambi uwakemee hadharani, ili wengine wapate kuogopa. 21Ninakuagiza mbele za Mungu na mbele za Kristo Yesu na mbele za malaika wateule, shika maagizo haya pasipo ubaguzi wala upendeleo. 22Usiwe na haraka kumwekea mtu mikono wala usishiriki dhambi za watu wengine. Jilinde nafsi yako uwe safi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.