1 Timotheo 5:19
1 Timothy 5:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiendekeze mashtaka dhidi ya mzee isipokuwa yawe yameletwa na mashahidi wawili au watatu.
1 Timothy 5:19 in English
1 Timothy 5:19 · Berean Standard Bible
Do not entertain an accusation against an elder, except on the testimony of two or three witnesses.
Context
17Wazee wa kanisa wanaoongoza shughuli za kanisa vizuri wanastahili heshima mara mbili, hasa wale ambao kazi yao ni kuhubiri na kufundisha. 18Kwa maana Maandiko husema, “Usimfunge maksai kinywa apurapo nafaka,” tena, “Mfanyakazi anastahili mshahara wake.” 19Usiendekeze mashtaka dhidi ya mzee isipokuwa yawe yameletwa na mashahidi wawili au watatu. 20Wale wanaodumu katika dhambi uwakemee hadharani, ili wengine wapate kuogopa. 21Ninakuagiza mbele za Mungu na mbele za Kristo Yesu na mbele za malaika wateule, shika maagizo haya pasipo ubaguzi wala upendeleo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.