Native Bible

1 Timothy 5:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiwe na haraka kumwekea mtu mikono wala usishiriki dhambi za watu wengine. Jilinde nafsi yako uwe safi.

1 Timothy 5:22 in English

1 Timothy 5:22 · Berean Standard Bible

Do not be too quick in the laying on of hands and thereby share in the sins of others. Keep yourself pure.

Context

20Wale wanaodumu katika dhambi uwakemee hadharani, ili wengine wapate kuogopa. 21Ninakuagiza mbele za Mungu na mbele za Kristo Yesu na mbele za malaika wateule, shika maagizo haya pasipo ubaguzi wala upendeleo. 22Usiwe na haraka kumwekea mtu mikono wala usishiriki dhambi za watu wengine. Jilinde nafsi yako uwe safi. 23Acha kunywa maji peke yake, tumia divai kidogo kwa sababu ya tumbo lako na maumivu yako ya mara kwa mara. 24Dhambi za watu wengine ni dhahiri nazo zinawatangulia kwenda hukumuni; na dhambi za watu wengine zinawafuata nyuma yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.