1 Wathesalonike 4:7
1 Thessalonians 4:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana Mungu hakutuitia uchafu, bali utakatifu.
1 Thessalonians 4:7 in English
1 Thessalonians 4:7 · Berean Standard Bible
For God has not called us to impurity, but to holiness.
Context
5si kwa tamaa mbaya kama watu wa Mataifa wasiomjua Mungu. 6Katika jambo hili mtu asimkosee ndugu yake wala kumlaghai. Kwa kuwa Bwana ni mlipiza kisasi katika mambo haya yote, kama vile tulivyokwisha kuwaambia mapema na kuwaonya vikali. 7Kwa maana Mungu hakutuitia uchafu, bali utakatifu. 8Kwa hiyo, mtu yeyote anayekataa mafundisho haya hamkatai mwanadamu, bali anamkataa Mungu anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu. 9Sasa kuhusu upendo wa ndugu hamna haja mtu yeyote kuwaandikia, kwa maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.