1 Wathesalonike 4:5
1 Thessalonians 4:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
si kwa tamaa mbaya kama watu wa Mataifa wasiomjua Mungu.
1 Thessalonians 4:5 in English
1 Thessalonians 4:5 · Berean Standard Bible
not in lustful passion like the Gentiles who do not know God;
Context
3Mapenzi ya Mungu ni kwamba ninyi mtakaswe, ili kwamba mjiepushe na zinaa, 4ili kwamba kila mmoja wenu ajifunze kuutawala mwili wake mwenyewe katika utakatifu na heshima, 5si kwa tamaa mbaya kama watu wa Mataifa wasiomjua Mungu. 6Katika jambo hili mtu asimkosee ndugu yake wala kumlaghai. Kwa kuwa Bwana ni mlipiza kisasi katika mambo haya yote, kama vile tulivyokwisha kuwaambia mapema na kuwaonya vikali. 7Kwa maana Mungu hakutuitia uchafu, bali utakatifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.