1 Wathesalonike 4:6
1 Thessalonians 4:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika jambo hili mtu asimkosee ndugu yake wala kumlaghai. Kwa kuwa Bwana ni mlipiza kisasi katika mambo haya yote, kama vile tulivyokwisha kuwaambia mapema na kuwaonya vikali.
1 Thessalonians 4:6 in English
1 Thessalonians 4:6 · Berean Standard Bible
and no one should ever violate or exploit his brother in this regard,* because the Lord will avenge all such acts, as we have already told you and solemnly warned you.
Context
4ili kwamba kila mmoja wenu ajifunze kuutawala mwili wake mwenyewe katika utakatifu na heshima, 5si kwa tamaa mbaya kama watu wa Mataifa wasiomjua Mungu. 6Katika jambo hili mtu asimkosee ndugu yake wala kumlaghai. Kwa kuwa Bwana ni mlipiza kisasi katika mambo haya yote, kama vile tulivyokwisha kuwaambia mapema na kuwaonya vikali. 7Kwa maana Mungu hakutuitia uchafu, bali utakatifu. 8Kwa hiyo, mtu yeyote anayekataa mafundisho haya hamkatai mwanadamu, bali anamkataa Mungu anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.