Native Bible

1 Thessalonians 2:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naam, ninyi ndio fahari yetu na furaha yetu.

1 Thessalonians 2:20 in English

1 Thessalonians 2:20 · Berean Standard Bible

You are indeed our glory and our joy.

Context

18Maana tulitaka kuja kwenu, hasa mimi Paulo, nilitaka kuja tena na tena, lakini Shetani akatuzuia. 19Kwa maana tumaini letu ni nini, au furaha yetu au taji yetu ya kujisifia mbele za Bwana Yesu Kristo wakati wa kuja kwake? Je, si ni ninyi? 20Naam, ninyi ndio fahari yetu na furaha yetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.