1 Samweli 7:17
1 Samuel 7:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini kila mara alirudi Rama, kulikokuwa nyumbani kwake, huko pia aliwaamua Israeli. Naye huko alimjengea Bwana madhabahu.
1 Samuel 7:17 in English
1 Samuel 7:17 · Berean Standard Bible
Then he would return to Ramah because his home was there, and there he judged Israel and built an altar to the LORD.
Context
15Samweli akaendelea kama mwamuzi juu ya Israeli siku zote za maisha yake. 16Mwaka hadi mwaka aliendelea kuzunguka kutoka Betheli mpaka Gilgali na Mispa, akiamua Israeli katika sehemu hizo zote. 17Lakini kila mara alirudi Rama, kulikokuwa nyumbani kwake, huko pia aliwaamua Israeli. Naye huko alimjengea Bwana madhabahu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.