1 Samweli 7:16
1 Samuel 7:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwaka hadi mwaka aliendelea kuzunguka kutoka Betheli mpaka Gilgali na Mispa, akiamua Israeli katika sehemu hizo zote.
1 Samuel 7:16 in English
1 Samuel 7:16 · Berean Standard Bible
Every year he would go on a circuit from Bethel to Gilgal to Mizpah, judging Israel in all these places.
Context
14Miji kuanzia Ekroni hadi Gathi, ile ambayo Wafilisti walikuwa wameiteka kutoka Israeli, ilirudishwa kwake, naye Israeli akazikomboa nchi jirani mikononi mwa Wafilisti. Kukawepo amani kati ya Israeli na Waamori. 15Samweli akaendelea kama mwamuzi juu ya Israeli siku zote za maisha yake. 16Mwaka hadi mwaka aliendelea kuzunguka kutoka Betheli mpaka Gilgali na Mispa, akiamua Israeli katika sehemu hizo zote. 17Lakini kila mara alirudi Rama, kulikokuwa nyumbani kwake, huko pia aliwaamua Israeli. Naye huko alimjengea Bwana madhabahu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.