Native Bible

1 Samuel 23:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye Daudi akakwea kutoka huko na kuishi katika ngome za En-Gedi.

1 Samuel 23:29 in English

1 Samuel 23:29 · Berean Standard Bible

And David went up from there and lived in the strongholds of En-gedi.

Context

27mjumbe alikuja kwa Sauli, akisema, “Njoo haraka! Wafilisti wanaishambulia nchi.” 28Ndipo Sauli akarudi akaacha kumfuata Daudi na kwenda kukabiliana na Wafilisti. Ndiyo sababu wanaiita sehemu hii Sela-Hamalekothi.* 29Naye Daudi akakwea kutoka huko na kuishi katika ngome za En-Gedi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.