Native Bible

1 Samuel 23:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Sauli akarudi akaacha kumfuata Daudi na kwenda kukabiliana na Wafilisti. Ndiyo sababu wanaiita sehemu hii Sela-Hamalekothi.*

1 Samuel 23:28 in English

1 Samuel 23:28 · Berean Standard Bible

So Saul broke off his pursuit of David and went to meet the Philistines. That is why that place is called Sela-hammahlekoth.*

Context

26Sauli alikuwa akienda upande mmoja wa mlima, naye Daudi na watu wake walikuwa upande mwingine wa mlima, wakiharakisha kumkimbia Sauli. Wakati Sauli na majeshi yake walipokaribia kumkamata Daudi na watu wake, 27mjumbe alikuja kwa Sauli, akisema, “Njoo haraka! Wafilisti wanaishambulia nchi.” 28Ndipo Sauli akarudi akaacha kumfuata Daudi na kwenda kukabiliana na Wafilisti. Ndiyo sababu wanaiita sehemu hii Sela-Hamalekothi.* 29Naye Daudi akakwea kutoka huko na kuishi katika ngome za En-Gedi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.