Native Bible

1 Samuel 2:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, hushusha na hukweza.

1 Samuel 2:7 in English

1 Samuel 2:7 · Berean Standard Bible

The LORD sends poverty and wealth; He humbles and He exalts.

Context

5Wale waliokuwa na chakula tele wamejikodisha wenyewe ili kupata chakula, lakini wale waliokuwa na njaa hawana njaa tena. Mwanamke yule aliyekuwa tasa amezaa watoto saba, lakini yule ambaye alikuwa na wana wengi amedhoofika. 6“Bwana huua na huleta uhai, hushusha chini mpaka kaburini* na hufufua. 7Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, hushusha na hukweza. 8Humwinua maskini kutoka mavumbini na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu; huwaketisha pamoja na wakuu na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima. “Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya Bwana; juu yake ameuweka ulimwengu. 9Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake, lakini waovu watanyamazishwa kwenye giza. “Si kwa nguvu mtu hushinda;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.