1 Samweli 13:23
1 Samuel 13:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi kikosi cha Wafilisti kilikuwa kimetoka kuelekea njia iendayo Mikmashi.
1 Samuel 13:23 in English
1 Samuel 13:23 · Berean Standard Bible
And a garrison of the Philistines had gone out to the pass at Michmash.
Context
21Bei ilikuwa fedha theluthi mbili za shekeli* kunoa majembe ya plau na majembe ya mkono, na theluthi moja ya shekeli* kwa nyuma, mashoka na michokoo. 22Kwa hiyo siku ya vita hakuna askari yeyote aliyekuwa kambini na Sauli na Yonathani ambaye alikuwa na upanga wala mkuki mkononi mwake; Sauli tu na mwanawe Yonathani ndio waliokuwa navyo. 23Basi kikosi cha Wafilisti kilikuwa kimetoka kuelekea njia iendayo Mikmashi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.