Native Bible

1 Samuel 13:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bei ilikuwa fedha theluthi mbili za shekeli* kunoa majembe ya plau na majembe ya mkono, na theluthi moja ya shekeli* kwa nyuma, mashoka na michokoo.

1 Samuel 13:21 in English

1 Samuel 13:21 · Berean Standard Bible

The charge was a pim * for sharpening a plowshare or mattock, a third of a shekel for sharpening a pitchfork or an axe, and a third of a shekel for repointing an oxgoad.*

Context

19Hapakuwa na mhunzi ambaye angeweza kupatikana katika nchi yote ya Israeli, kwa sababu Wafilisti walikuwa wamesema, “Waebrania wasije wakatengeneza panga au mikuki!” 20Hivyo Waisraeli wote huteremka kwa Wafilisti ili kunoa majembe ya plau, majembe ya mkono, mashoka na miundu. 21Bei ilikuwa fedha theluthi mbili za shekeli* kunoa majembe ya plau na majembe ya mkono, na theluthi moja ya shekeli* kwa nyuma, mashoka na michokoo. 22Kwa hiyo siku ya vita hakuna askari yeyote aliyekuwa kambini na Sauli na Yonathani ambaye alikuwa na upanga wala mkuki mkononi mwake; Sauli tu na mwanawe Yonathani ndio waliokuwa navyo. 23Basi kikosi cha Wafilisti kilikuwa kimetoka kuelekea njia iendayo Mikmashi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.