Native Bible

1 Samuel 10:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Babaye mdogo Sauli akasema, “Niambie Samweli amekuambia nini.”

1 Samuel 10:15 in English

1 Samuel 10:15 · Berean Standard Bible

“Tell me,” Saul’s uncle asked, “what did Samuel say to you?”

Context

13Baada ya Sauli kumaliza kutoa unabii, alikwenda mahali pa juu. 14Basi babaye mdogo akamuuliza Sauli na mtumishi wake, “Je, mlikuwa wapi?” Akajibu, “Tulikuwa tukiwatafuta punda. Lakini tulipoona hawapatikani, tulikwenda kwa Samweli.” 15Babaye mdogo Sauli akasema, “Niambie Samweli amekuambia nini.” 16Sauli akajibu, “Alituhakikishia kwamba punda wamepatikana.” Lakini hakumwambia babaye mdogo kila kitu Samweli alichomwambia kuhusu ufalme. 17Samweli akawaita watu wa Israeli kuja kwa Bwana huko Mispa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.