1 Samweli 10:13
1 Samuel 10:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya Sauli kumaliza kutoa unabii, alikwenda mahali pa juu.
1 Samuel 10:13 in English
1 Samuel 10:13 · Berean Standard Bible
And when Saul had finished prophesying, he went up to the high place.
Context
11Ikawa wale wote waliomfahamu hapo mwanzo walipomwona akitoa unabii pamoja na manabii, wakaulizana, “Ni nini hiki kilichomtokea mwana wa Kishi? Je, Sauli naye pia yumo miongoni mwa manabii?” 12Mtu mmoja ambaye aliishi huko akajibu, “Je, naye baba yao ni nani?” Basi ikawa mithali, kusema, “Je, Sauli pia yumo miongoni mwa manabii?” 13Baada ya Sauli kumaliza kutoa unabii, alikwenda mahali pa juu. 14Basi babaye mdogo akamuuliza Sauli na mtumishi wake, “Je, mlikuwa wapi?”
Akajibu, “Tulikuwa tukiwatafuta punda. Lakini tulipoona hawapatikani, tulikwenda kwa Samweli.” 15Babaye mdogo Sauli akasema, “Niambie Samweli amekuambia nini.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.