1 Samweli 1:16
1 Samuel 1:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usimdhanie mtumishi wako kuwa mwanamke mwovu; nimekuwa nikiomba hapa katika wingi wa uchungu mkuu na huzuni.”
1 Samuel 1:16 in English
1 Samuel 1:16 · Berean Standard Bible
Do not take your servant for a wicked woman; for all this time I have been praying out of the depth of my anguish and grief.”
Context
14naye akamwambia, “Utaendelea kulewa mpaka lini? Achilia mbali mvinyo wako.” 15Hana akajibu, “Si hivyo bwana wangu, mimi ni mwanamke mwenye huzuni kubwa. Mimi sijanywa mvinyo wala kileo, nilikuwa ninaumimina moyo wangu kwa Bwana. 16Usimdhanie mtumishi wako kuwa mwanamke mwovu; nimekuwa nikiomba hapa katika wingi wa uchungu mkuu na huzuni.” 17Eli akamjibu, “Nenda kwa amani, naye Mungu wa Israeli na akujalie kile ulichomwomba.” 18Hana akasema, “Mtumishi wako na apate kibali machoni pako.” Kisha akaondoka zake na kula chakula, wala uso wake haukuwa na huzuni tena.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.