1 Petro 4:7
1 Peter 4:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwisho wa mambo yote umekaribia. Kwa hiyo kuweni na akili tulivu na kiasi, mkikesha katika kuomba.
1 Peter 4:7 in English
1 Peter 4:7 · Berean Standard Bible
The end of all things is near. Therefore be clear-minded and sober, so that you can pray.
Context
5Lakini itawapasa wao kutoa hesabu mbele zake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa. 6Kwa kuwa hii ndiyo sababu Injili ilihubiriwa hata kwa wale waliokufa, ili wahukumiwe sawasawa na wanadamu wengine katika mwili, lakini katika roho waishi kulingana na Mungu aishivyo. 7Mwisho wa mambo yote umekaribia. Kwa hiyo kuweni na akili tulivu na kiasi, mkikesha katika kuomba. 8Zaidi ya yote, dumuni katika upendo kwa maana upendo husitiri wingi wa dhambi. 9Kuweni wakarimu kila mtu na mwenzake pasipo manungʼuniko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.